‏ Zephaniah 2:13

Dhidi Ya Ashuru

13 aMungu atanyoosha mkono wake dhidi ya kaskazini
na kuangamiza Waashuru,
akiiacha Ninawi ukiwa
na pakame kama jangwa.
Copyright information for SwhNEN