‏ Zechariah 9:9

Kuja Kwa Mfalme Wa Sayuni

9 aShangilia sana, ee Binti Sayuni!
Piga kelele, Binti Yerusalemu!
Tazama, Mfalme wako anakuja kwako,
ni mwenye haki, naye ana wokovu,
ni mpole, naye amepanda punda,
mwana-punda, mtoto wa punda.
Copyright information for SwhNEN