‏ Zechariah 9:12

12 aRudieni ngome yenu, enyi wafungwa wa tumaini;
hata sasa ninatangaza kwamba
nitawarejesheeni maradufu.
Copyright information for SwhNEN