‏ Zechariah 2:6-7

6 a“Njooni! Njooni! Kimbieni mtoke katika nchi ya kaskazini,” asema Bwana, “Kwa kuwa nimewatawanya kwenye pande nne za mbingu,” asema Bwana.

7 b“Njoo, ee Sayuni! Kimbia, wewe ukaaye ndani ya Binti Babeli!”
Copyright information for SwhNEN