‏ Zechariah 14:9

9 a Bwana atakuwa mfalme juu ya dunia yote. Katika siku hiyo atakuwepo Bwana mmoja na jina lake litakuwa jina pekee.

Copyright information for SwhNEN