Zechariah 14:8
8 aSiku hiyo, maji yaliyo hai yatatiririka kutoka Yerusalemu, nusu kwenda kwenye bahari ya mashariki, ▼▼Yaani Bahari ya Chumvi au Bahari Mfu.
na nusu kwenda kwenye bahari ya magharibi ▼▼Yaani Bahari ya Mediterania.
wakati wa kiangazi na wakati wa masika.
Copyright information for
SwhNEN