Song of Solomon 8:5
Shairi La Sita
Marafiki 5 aNi nani huyu anayekuja kutoka nyikani
akimwegemea mpenzi wake?
Mpendwa
Nilikuamsha chini ya mtofaa,
huko mama yako alipotunga mimba yako,
huko yeye alipata utungu akakuzaa.
Copyright information for
SwhNEN