‏ Song of Solomon 7:4

4 aShingo yako ni kama mnara wa pembe ya ndovu.
Macho yako ni vidimbwi vya Heshboni
karibu na lango la Beth-Rabi.
Pua lako ni kama mnara wa Lebanoni
ukitazama kuelekea Dameski.
Copyright information for SwhNEN