‏ Song of Solomon 6:13

Marafiki

13 aRudi, rudi, ee Mshulami;
rudi, rudi ili tupate kukutazama!
Mpenzi

Kwa nini kumtazama Mshulami,
kama kutazama ngoma ya Mahanaimu?
Mahanaimu hapa ina maana ya majeshi mawili.

Copyright information for SwhNEN