‏ Song of Solomon 5:15

15 aMiguu yake ni nguzo za marmar
zilizosimikwa katika vitako vya dhahabu safi.
Sura yake ni kama Lebanoni,
bora kama miti yake ya mierezi.
Copyright information for SwhNEN