‏ Song of Solomon 5:12

12 aMacho yake ni kama ya hua
kandokando ya vijito vya maji,
aliyeogeshwa kwenye maziwa,
yaliyopangwa kama vito vya thamani.
Copyright information for SwhNEN