Song of Solomon 1:4
4 aNichukue twende nawe, na tufanye haraka!
Mfalme na anilete ndani ya vyumba vyake.
Marafiki
Tunakushangilia na kukufurahia,
tutasifu upendo wako zaidi kuliko divai.
Mpendwa
Tazama jinsi ilivyo bora wakupende!
Copyright information for
SwhNEN