Romans 5:3-5
3 aSi hivyo tu, bali twafurahi pia katika mateso, kwa sababu tunajua kuwa mateso huleta saburi, 4 bnayo saburi huleta uthabiti wa moyo, na uthabiti wa moyo huleta tumaini, 5 cwala tumaini halitukatishi tamaa, kwa sababu Mungu amekwisha kumimina pendo lake mioyoni mwetu kwa njia ya Roho Mtakatifu ambaye ametupatia.
Copyright information for
SwhNEN