Romans 2:17-18
Wayahudi Na Sheria
17 aTazama, wewe ukiwa unaitwa Myahudi na kuitegemea sheria na kujisifia uhusiano wako na Mungu, 18 bkama unajua mapenzi ya Mungu na kukubali lililo bora kwa sababu umefundishwa na hiyo sheria,
Copyright information for
SwhNEN