‏ Romans 1:11-13

11 aNinatamani sana kuwaona ili nipate kuweka juu yenu karama za rohoni ili mwe imara, 12 bau zaidi, ninyi pamoja nami tuweze kutiana moyo katika imani sisi kwa sisi. 13 cNdugu zangu, napenda mfahamu kwamba mara nyingi nimekusudia kuja kwenu (ingawa mpaka sasa nimezuiliwa), ili nipate kuvuna mavuno miongoni mwenu kama nilivyovuna miongoni mwa wengine ambao ni watu wa Mataifa wasiomjua Mungu.

Copyright information for SwhNEN