‏ Revelation of John 6:8

8 aNikatazama, na hapo mbele yangu alikuwepo farasi mwenye rangi ya kijivujivu! Yeye aliyempanda aliitwa Mauti, naye Kuzimu
Kuzimu linalotokana na neno Hades la Kiyunani au Sheol kwa Kiebrania.
alikuwa akimfuata nyuma yake kwa karibu. Wakapewa mamlaka juu ya robo ya dunia, kuua kwa upanga, njaa, tauni na kwa wanyama wakali wa dunia.

Copyright information for SwhNEN