Revelation of John 21:16
16 aMji huo ulikuwa mraba, urefu wake ulikuwa sawa na upana wake. Akaupima huo mji kwa huo ufito akakuta una kama kilomita 2,200; ▼▼Kilomita 2,200 hapa ni sawa na maili 1,200.
urefu wake na upana wake na kwenda juu kwake vilikuwa sawa.
Copyright information for
SwhNEN