‏ Revelation of John 20:11

Wafu Wanahukumiwa

11 aKisha nikaona kiti kikubwa cheupe cha enzi pamoja na yeye aliyeketi juu yake. Dunia na mbingu zikaukimbia uso wake wala mahali pao hapakuonekana.
Copyright information for SwhNEN