Revelation of John 16:21
21 aMvua kubwa ya mawe yenye uzito wa talanta moja ▼▼Talanta moja ni kama kilo 34.
ikashuka kutoka mbinguni, ikawaangukia wanadamu. Nao wanadamu wakamlaani Mungu kwa ajili ya hayo mapigo ya mvua ya mawe, kwa sababu pigo hilo lilikuwa la kutisha.
Copyright information for
SwhNEN