‏ Revelation of John 16:16

16 aNdipo wakawakusanya wafalme pamoja mahali paitwapo Armagedoni
Armagedoni au Har-Magedoni ina maana Mlima Megido, mahali pa kinabii ambapo wafalme wote wa dunia watakusanyika kwa vita katika siku ya Mungu Mwenyezi.
kwa Kiebrania.


Copyright information for SwhNEN
The selected Bible will not be clickable as it does not support the Vocabulary feature. The vocabulary is available by hovering over the verse number.