‏ Revelation of John 11:8

8 aMaiti zao zitabaki katika barabara ya mji mkubwa,
Mji mkubwa hapa inamaanisha Yerusalemu ambako Bwana wao alisulubiwa.
ambao kwa fumbo unaitwa Sodoma na Misri,
Sodoma na Misri hapa inamaanisha Yerusalemu, kwa sababu mataifa watafanya uovu mwingi wa kila aina katika kipindi hicho cha miaka mitatu na nusu.
ambapo pia Bwana wao alisulubiwa.
Copyright information for SwhNEN