‏ Psalms 91:9-10


9Kama ukimfanya Aliye Juu Sana kuwa makao yako:
naam, Bwana ambaye ni kimbilio langu,
10 abasi hakuna madhara yatakayokupata wewe,
hakuna maafa yataikaribia hema yako.
Copyright information for SwhNEN