Psalms 91:11-13
11 aKwa kuwa atawaagiza malaika zake kwa ajili yako,
wakulinde katika njia zako zote.
12 bMikononi mwao watakuinua,
ili usijikwae mguu wako kwenye jiwe.
13 cUtawakanyaga simba na nyoka wakali,
simba mkubwa na nyoka utawaponda kwa miguu.
Copyright information for
SwhNEN