Psalms 9:2-4
2 aNitafurahi na kushangilia ndani yako.Nitaliimbia sifa jina lako, Ewe Uliye Juu Sana.
3Adui zangu wamerudi nyuma,
wamejikwaa na kuangamia mbele zako.
4 bKwa maana umetetea haki yangu na msimamo wangu;
umeketi kwenye kiti chako cha enzi,
ukihukumu kwa haki.
Copyright information for
SwhNEN