‏ Psalms 89:30-33


30 a“Kama wanae wataacha amri yangu
na wasifuate sheria zangu,
31kama wakihalifu maagizo yangu
na kutoshika amri zangu,
32 bnitaadhibu dhambi yao kwa fimbo,
uovu wao kwa kuwapiga,
33 clakini sitauondoa upendo wangu kwake,
wala sitausaliti uaminifu wangu kamwe.
Copyright information for SwhNEN