Psalms 89:19-20
19Ulizungumza wakati fulani katika maono,
kwa watu wako waaminifu, ukasema:
“Nimeweka nguvu kwa shujaa,
nimemwinua kijana miongoni mwa watu.
20 aNimemwona Daudi, mtumishi wangu,
na nimemtia mafuta yangu matakatifu.
Copyright information for
SwhNEN