Psalms 88:3-4
3 aKwa maana nafsi yangu imejaa taabu,
na maisha yangu yanakaribia kaburi. ▼▼Kaburi hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol.
4 cNimehesabiwa miongoni mwa wale waendao shimoni,
niko kama mtu asiye na nguvu.
Copyright information for
SwhNEN