a
Kut 32:1-6
b
Eze 20:25
;
Mdo 7:42
;
Rum 1:24
Psalms 81:11-12
11
a
“Lakini watu wangu hawakutaka kunisikiliza;
Israeli hakutaka kunitii.
12
b
Basi niliwaacha katika ukaidi wa mioyo yao
wafuate mashauri yao wenyewe.
Copyright information for
SwhNEN