‏ Psalms 8:5-8

5 aUmemfanya chini kidogo kuliko viumbe wa mbinguni,
ukamvika taji ya utukufu na heshima.

6 bUmemfanya mtawala juu ya kazi za mikono yako;
umeweka vitu vyote chini ya miguu yake.
7 cMifugo na makundi yote pia,
naam, na wanyama wa kondeni,
8 dndege wa angani na samaki wa baharini,
naam, kila kiogeleacho katika njia za bahari.
Copyright information for SwhNEN