‏ Psalms 78:70-71

70 aAkamchagua Daudi mtumishi wake
na kumtoa kwenye mazizi ya kondoo.
71 bKutoka kuchunga kondoo alimleta
kuwa mchungaji wa watu wake Yakobo,
wa Israeli urithi wake.
Copyright information for SwhNEN