‏ Psalms 78:48-50

48 aAliwaachia mifugo yao mvua ya mawe,
akayapiga makundi ya wanyama wao kwa radi.
49 bAliwafungulia hasira yake kali,
ghadhabu yake, hasira na uadui,
na kundi la malaika wa kuharibu.
50Aliitengenezea njia hasira yake,
hakuwaepusha na kifo,
bali aliwaachia tauni.
Copyright information for SwhNEN