‏ Psalms 78:15-16

15 aAlipasua miamba jangwani
na akawapa maji tele kama bahari,
16 balitoa vijito kutoka kwenye jabali lililochongoka,
akayafanya maji yatiririke kama mito.
Copyright information for SwhNEN