‏ Psalms 77:18

18 aNgurumo yako ilisikika katika upepo wa kisulisuli,
umeme wako wa radi ukaangaza dunia,
nchi ikatetemeka na kutikisika.
Copyright information for SwhNEN