‏ Psalms 74:8

8 aWalisema mioyoni mwao,
“Tutawaponda kabisa!”
Walichoma kila mahali ambapo Mungu
aliabudiwa katika nchi.
Copyright information for SwhNEN