Psalms 73:9-11
9 aVinywa vyao huweka madai hata kwa mbingu,
nazo ndimi zao humiliki duniani.
10Kwa hiyo watu wao huwageukia
na kunywa maji tele. ▼▼Au: na kupokea yote wasemayo.
11 cWanasema, “Mungu awezaje kujua?
Je, Yeye Aliye Juu Sana anayo maarifa?”
Copyright information for
SwhNEN