Psalms 72:1-4
Maombi Kwa Ajili Ya Mfalme
Zaburi ya Solomoni.
1 aEe Mungu, mjalie mfalme aamue kwa haki yako,mwana wa mfalme kwa haki yako.
2 bAtawaamua watu wako kwa haki,
watu wako walioonewa kwa haki.
3Milima italeta mafanikio kwa watu,
vilima tunda la haki.
4 cAtawatetea walioonewa miongoni mwa watu
na atawaokoa watoto wa wahitaji,
ataponda mdhalimu.
Copyright information for
SwhNEN