‏ Psalms 65:10

10 aUmeilowesha mifereji yake
na kusawazisha kingo zake;
umeilainisha kwa manyunyu
na kuibariki mimea yake.
Copyright information for SwhNEN