‏ Psalms 56:8

8 aAndika maombolezo yangu,
orodhesha machozi yangu katika gombo lako:
je, haya hayapo katika kumbukumbu zako?
Copyright information for SwhNEN