‏ Psalms 55:12-13


12Kama aliyenitukana ni adui yangu, ningevumilia,
kama mtu mwovu angejiinua dhidi yangu,
ningejificha asinione.
13 aKumbe ni wewe, mwenzangu,
mshiriki na rafiki yangu wa karibu,
Copyright information for SwhNEN