‏ Psalms 50:21

21 aMambo haya unayafanya, nami nimekaa kimya,
ukafikiri Mimi nami ni kama wewe.
Lakini nitakukemea
na kuweka mashtaka mbele yako.
Copyright information for SwhNEN