Psalms 48:2
2 aNi mzuri katika kuinuka kwake juu sana,
furaha ya dunia yote.
Kama vilele vya juu sana vya Safoni ▼▼Safoni inaweza ikawa na maana ya mlima mtakatifu au upande wa kaskazini.
ni Mlima Sayuni,
mji wa Mfalme Mkuu.
Copyright information for
SwhNEN