‏ Psalms 47:5-6


5 aMungu amepaa kwa kelele za shangwe,
Bwana kwa sauti za tarumbeta.
6 bMwimbieni Mungu sifa, imbeni sifa,
mwimbieni sifa Mfalme wetu, imbeni sifa.
Copyright information for SwhNEN