‏ Psalms 44:6-7

6 aSiutumaini upinde wangu,
upanga wangu hauniletei ushindi;
7 bbali wewe unatupa ushindi juu ya adui zetu,
unawaaibisha watesi wetu.
Copyright information for SwhNEN