‏ Psalms 42:7

7 aKilindi huita kilindi,
katika ngurumo za maporomoko ya maji yako;
mawimbi yako yote pamoja na viwimbi
vimepita juu yangu.
Copyright information for SwhNEN