‏ Psalms 40:6-8


6 aDhabihu na sadaka hukuvitaka,
lakini umefungua masikio yangu;
Au: bali mwili uliniandalia.

sadaka za kuteketezwa na sadaka za dhambi
hukuzihitaji.
7 cNdipo niliposema, “Mimi hapa, nimekuja:
imeandikwa kunihusu katika kitabu.
8 dEe Mungu wangu,
natamani kuyafanya mapenzi yako;
sheria yako iko ndani ya moyo wangu.”
Copyright information for SwhNEN