‏ Psalms 40:16

16 aLakini wote wakutafutao
washangilie na kukufurahia,
wale wapendao wokovu wako siku zote waseme,
Bwana atukuzwe!”
Copyright information for SwhNEN