‏ Psalms 36:6

6 aHaki yako ni kama milima mikubwa,
hukumu zako ni kama kilindi kikuu.
Ee Bwana, wewe huwahifadhi
mwanadamu na mnyama.
Copyright information for SwhNEN