‏ Psalms 31:15

15 aSiku za maisha yangu ziko mikononi mwako,
uniokoe mikononi mwa adui zangu
na wale wanifuatiao.
Copyright information for SwhNEN