‏ Psalms 28:4

4 aWalipe sawasawa na matendo yao,
sawasawa na matendo yao maovu;
walipe sawasawa na kazi za mikono yao,
uwalipe wanavyostahili.
Copyright information for SwhNEN