Psalms 2:1-3
Mfalme Aliyechaguliwa Na Mungu
1 aKwa nini mataifa wanashauriana kufanya mabaya,na kabila za watu kula njama bure?
2 b cWafalme wa dunia wanajipanga
na watawala wanajikusanya pamoja
dhidi ya Bwana
na dhidi ya Mpakwa Mafuta wake.
3 dWanasema, “Tuvunje minyororo yao
na kuvitupilia mbali vifungo vyao.”
Copyright information for
SwhNEN